BANDA MEDIA BLOG

Maonyesho ya Utamaduni wa India yafungwa kwa kuonyesha tamaduni za Tanzania na India

ind1
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwasili katika maonyesho ya Utamaduni wa India yajulikanayo kama Namaste Tanzania  yaliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya.
ind2
Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya Utamaduni wa India (Namaste Tanzania) yaliyolenga kubadilishana utamaduni kati ya nchi ya Tanzania na India jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

ind3
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa kufunga maonyesho ya Utamaduni wa India (Namaste Tanzania) yaliyoonyesha ngoma kutoka Tanzania pamoja na India jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
ind4
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla (kulia) akimvalisha vazi la shingoni mmoja wa waonyesha utamaduni kutoka India kabla ya kuanza maonyesho ya Utamaduni wa India (Namaste Tanzania) jana katika Ukumbi wa Diambond Jubilee Jijini Dar es Salaam
ind5
Kikundi cha ngoma kutoka Tanzania kikicheza ngoma wakati wa kufunga maonyesho ya Utamaduni wa India yajulikanayo kama Namaste Tanzania katika kubadilishana utamaduni kati ya Tanzania na India jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
ind6
Kikundi cha ngoma kutoka India kikifanya maonyesho ya Utamaduni wa India wakati wa kufunga maonyesho ya Utamaduni wa India (Namaste Tanzania) na kubadilishana tamaduni kati ya Tanzania na India jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
ind7
Baadhi ya watu wa jamii ya India wakiangalia maonyesho ya Utamaduni wa India na Tanzania yaliyokua yakiendelea wakati wa kufunga maonyesho ya Utamaduni wa India yajulikanayo kama Namaste Tanzania Jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
ind8
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalla (katikati) katika picha ya pamoja na waonyesha ngoma za Utamaduni kutoka India wakati wa maonyesho ya Utamaduni wa India (Namaste Tanzania) jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Wasita kushoto ni Balozi wa India nchini Tanzania Bw. Sandeep Arya.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG