BANDA MEDIA BLOG

WARSHA YA SIKU TATU KWA WATENDAJI WA HALMASHAURI ZA WILAYA ZA MIKOA YA KANDA YA ZIWA, KUHUSU MAENDELEO ENDELEVU KUELEKEA 2030 YAFUNGWA RASMI MJINI DODOMA

Mkurugenzi wa Mifumo TAMISEMI  Henry Katabwa akizungumza jambo wakati alipokuwa akifunga Warsha ya siku tatu kwa watendaji wa halimashauri za wilaya za mikoa ya kanda ya ziwa kuhusu malengo ya maendeleo Endelevu iliyofanyika mjini Dodoma [PICHA NA JOHN BANDA]



Mkurugenzi wa Kuondoa Umasikini wa TAMISEMI akizungumza jambo kwenye warsha hiyo

Maafsa mipango na maafsa Maendeleo ya Jamii wanaotumika katika halmashauri za Wilaya za Mikoa ya kanda ya ziwawakifuatilia jambo ukumbini hapo siku ya mwisho ya warsha hiyo


Mgeni Rasmi akiwaaga washiriki wa Warsha hiyo mara baada ya kumaliza kuwafungia

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG