BANDA MEDIA BLOG

DKT. MPANGO ATEMBELEA MAONESHO YA VIWANDA VYA NDANI


1
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (kulia) akionesha kwa Watanzania na mahali pengine duniani, nguo iliyoshonwa na mlemavu asiyeona Bw. Abdalah Nyangalilo (aliyevaa miwani), baada ya waziri huyo kutembelea banda lake lililopo kwenye uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, uliopo Barabara ya Kilwa, Jijini Da es salaam, na kumpatia mlemavu huyo msaada wa vyerehani viwili.
3
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Bw. Edwin Rutageruka, (aliyenyoosha kidole), akimtembeza Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, eneo la Kilwa, Jijini Dar es salaam.

4
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (kushoto) akiangalia kazi ya ubunifu wa Bw. Kaparata, aliyebuni gari na kulipa jina la Kaparata, wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
5 6
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (kushoto) akiangalia kazi ya ubunifu wa mitambo mbalimbali iliyobuniwa na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo-Sido, wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
7 8
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (kushoto) akiangalia bidhaa zilizotengenezwa na mjasiliamali mmoja, wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
9
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (katikati) akiangalia mashine ya kusindika mazao ilibuniwa na Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
10
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (katikati) akiangalia zoezi la uhakiki wa Namba za utambulisho wa Mfanyabiashara (TIN) alipotembelea Banda la Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
11
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (katikati) akiangalia bidhaa za ngozi kutoka kwa wajasiliamali, wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam.
12
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (katikati) akiongea na maafisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchi ni (TFDA), wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam
 
(PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-HAZINA)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG