MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU CCM NA MNEC WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA(MB) AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM MKOA WA RUVUMA KATIKA OFISI CCM MKOA WA RUVUMA
byJohn Banda-
0
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa (MB) akingalia burudani ya ngoma ya Mganda ambayo ilikuwa imeandaliwa
kwa ajili ya kumkaribisha katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya
kuzungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Ruvuma
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa (MB)akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma
wakatialipofika hapo kwa ajili ya kuongea na viongozi wa ccm mkoa wa Ruvuma
kushoto ni Mwenyekiti CCM mkoa wa Ruvuma Bwana Oddo Mwisho na anaye fuatia ni
katibu wa CCM Mkoa wa Ruvuma Verena Shumbusho
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCMna MNEC Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa (MB)amemkabidhi kadi ya CCM Bwana Musa Ndomba ambaye amerudi CCM
mwanzo alikuwa mwana chama wa Chadema na Diwani wa Kata ya Tanga manispa ya
songea na mwenyekiti wa wawanafunzi katika chuo kikuu cha mtakatifu John
kilichopo Songea shughuli hiyo imefanyika katika ukumbi wa ccm mkoa wa Ruvuma
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM na MNEC Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa (MB)akizungzumza na viongozi wa CCM mkoa wa Ruvuma katika ukumbi wa
CCM Mkoani Ruvuma
Waziri Mkuu yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi