Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri wa
Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye wametangaza kuufungua
tena uwanja wa taifa baada ya kuufunga mwezi Oktoba mwaka jana kwa
shughuli zozote.
Uwanja huo ulifungwa kutokana na uharibifu uliotokea wakati wa vurugu
zilizotokea uwanja huo wakati wa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga
iliyochezwa Oktoba 1 mwaka jana. Uwanja huo utaanza kutumika katika
mechi ya Simba na Azam itakayochezwa Jumamosi hii.
Soma taarifa hiyo zaidi hapa chini.
Tags
MICHEZO KITAIFA

