BANDA MEDIA BLOG

MKUU WA MKOA WA MBEYA AMOSI MAKALA AZINDUA DAWATI LA MKOA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI


Awapongeza wanawake kwa kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amosi Makala akisoma hotuba yake wakati akizindua dawati la mkoa la uwezeshaji wanawake kiuchumi.
Asema asilimia 69 ya wanawake wanashiriki katika sekta ya kilimo.
Akemea mfumo Dume wa kutoawapa fursa wanawake kumiliki.
Ardhi. Asema baadhi ya makabila na baadhi ya wanaume wanawadharau wanawake
Asema kuna wanaume hawfanyi kazi za shamba wanawachia WANAWAKE na ikifika mavuno wanauliza mapato
Aagiza wakurugenzi wa halmashauri kutenga maeneo ya viwanda
vidogo vidogo na kutenga  ya asilimia 10 ya Mapato ya ndani kwa ajili ya mikopo nafuu vikundi vya wanawake na vijana

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG