KUTOKA IKULU: Kuhusu Taarifa za Uteuzi wa Katibu Mkuu Ndumbaro Kutenguliwa
byJohn Banda-
0
Kumekua na Taarifa zilizosambaa kuanzia saa kadhaa zilizopita kwamba
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Dr. Laurian
Ndumbaro.
IKULU imetoa taarifa jioni hii na kusema taarifa hizo sio za kweli
vilevile Wananchi wazingatie kupokea taarifa sahihi kutoka kwenye
mamlaka na vyombo rasmi vya serikali.