HomeDawa za Kulevya Jeshi la Polisi linamshikilia Mfanyakazi wa PPF Baada ya Kukutwa Akisafirisha Dawa za Kulevya byJohn Banda -Thursday, December 28, 2017 0 Jeshi la Polisi linamshikilia Mfanyakazi wa PPF, Anitha Oswald(32) kwa kukamatwa akisafirisha Dawa za Kulevya(Mirungi). Mwanamke huyo alikuwa akisafirisha bidhaa hiyo haramu kwa kutumia gari lake dogo. Tags Dawa za Kulevya Facebook Twitter