BANDA MEDIA BLOG

No title

 

NI KIVUMBI ZIARA YA KOMREDI CHONGOLO MPWAPWA


 amesema kuanzia sasa katika ziara zake atakuwa anawaita mawaziri kwenda kutatua kero za wananchi.

Msafara wa magari wa Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Chongolo ukitoka Dododma Mjini kuelekea Mpwapwa kuanza ziara ya kikazi  ya kukagua utekelezaji  wa Ilani ya uchaguzi ya CCM, kuhamasisha uhai wa chama kuanzia ngazi ya Shina na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. Ujenzi wa  barabara hiyo kwa kiwango cha lami unaendelea.

Akiwa katika kikao cha ndani na wana CCM, Komredi Daniel Chongolo amesema kuanzia sasa katika ziara zake atakuwa anawaita mawaziri kwenda kutatua kero za wananchi.

Katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Issa Haji Gavu.




 PICHA NA  RICHARD MWAIKENDA

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG