BANDA MEDIA BLOG

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA – ZANZIBAR

 

Picha mbalimbali zikiwaonesha wajumbe  wa mkutano huo wakiwa katika ufunguzi mjini Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe kwa Kwa lengo la Kukiimarisha Chama cha Mapinduzi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipofungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wakati wa Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.
Anamringi Macha Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM akifafanua baadhi ya mambo katika mafunzi hayo yanayofanyika Zanzibar.
Picha mbalimbali zikiwaonesha wajumbe wa mutanto huo wakiwa katika ufunguzi mjini Zanzibar








Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG