BANDA MEDIA BLOG

KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA LAFANYIKA DODOMA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango Leo Amezungumza na Wadau mbalimbali  walioshiriki  kongamano la Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma. 

Kongamano lililokwenda pamoja na ugawaji wa mitaji na vitendea kazi vya Nishati Safi ya Kupikia.

Makamu wa Rais ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko.*

#Nishati Safi ya Kupikia Mkombozi wa Wanawake





Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG