Mwanachama maarufu wa klabu ya Yanga maarufu kama mama *KADUTU wa Mwanza amefariki Dunia ( akiwa GEITA) dakika 70 wakati wa mchezo wa Memelodi v Yanga Sc ukiendelea
Mama KADUTU ameanza kujisikia Presha dakika ya 70 ya mchezo na kukimbizwa hospital ambapo amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu
MTOTO WA MWISHO wa mama Kadutu RUBEN Amethibitisha mama yake kufariki
“MAMA KAFARIKI HUKO GEITA” amesema RUBEN
Chanzo mtoto wa Marehemu
@cloudsfmtz @daudiwakota
