BANDA MEDIA BLOG

KAMANDA MURILO ATEMBELEA BANDA LA BoT MAONESHO YA SABASABA

 

Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius K. Nyerere kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2024.

Katika ziara yake amejionea namna wataalamu wa Benki Kuu wanatoa elimu kwa wananchi wanaotembelea banda letu kuhusu kazi za BoT.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG