BANDA MEDIA BLOG

MIUNDOMBINU YA RELI YA KISASA (SGR) IMEKAMILIKA KWA ASILIMIA KUBWA, TREN YA MWENDOKASI DAR TO DOM SASA JULAI 25, MWAKA HUU


                          ......................

               NA JOHN BANDA, DODOMA

MIUNDOMBINU ya reli ya kisasa SGR kutoka Morogoro hadi Dodoma imekamilika kwa kiwango kikubwa hatua inayowezesha treni ya mwendo kasi inayotumia umeme kuanza  kusafirisha abiria na Mzigo kutoka Dar es salama hadi Dodoma.

Akizungumza na waandish wa habari jijini Dodoma, Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbalawa amesema baada yazira yake ya kikazi ya kukagua miundombinu ya reli hiyo kutoka jijini Dar s salaam mpaka Dodoma

Aidha Prof Mbalawa anabainisha ghalama zilizotumika katika  mradi huu wa kimkakati huku mkurugenzi wa miundombinu ya shirika la Reli  TRC Mhandsi Machibia Shiwa akibainisha majaribio yaliyokwisha fanyika  na shirika hilo.

Safari ya kwanza ya treni inayotumia umeme kutoka Dar es salama kuishia Morogoro ilianza kutoa huduma tarehe 14/06/2024 na sasa inatarajiwa tarehe 25/07 / mwaka huu kuanza safari zake kutoka Dar es salama mpaka jijini Dodoma.

TAZAMA VIDEO    



 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG