BANDA MEDIA BLOG

Ukweli Usemwe Yanga Inabidi Ipongezwe Kwa Kiwango Ilichoonyesha


Klabu ya Yanga inapaswa kupongezwa kwa namna ambavyo inaendeshwa, katika kujiandaa na msimu mpya imesajili Wachezi ambao tayari wanajulikana na wazoefu wa Ligi na Michuano ya kimataifa kama vile Chama, Baleke na Dube.

Aidha, aina ya mechi ambazo wanacheza katika Pre-season hii ni za kimataifa zaidi, leo wamecheza na FC Augsburg ya Ujerumani na kuonesha kiwango cha hali ya juu, na July 27 wanakwenda kucheza na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini jambo ambalo litazidi kuwapa ubora zaidi.

Huu ni ujumbe mzito kwa Klabu nyingine washindani kuwa mtakapoona wanawapiga watu mkono msije kusema Wananunua mechi 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG