BANDA MEDIA BLOG

IGP WAMBURA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA TANGA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura Agosti 14,2024 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Burian wakati alipomtembelea ofisini kwake na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusiana na hali ya usalama mkoani humo.

IGP Camillus Wambura yupo mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kwa ajili ya kuzungumza na maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali. Picha na Jeshi la Polisi.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG