
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kuliakwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa, wakielekea katika ukumbi wa mkutano wa Dk.Ali Mohammed Shein, kwa ajiuli ya kuzungumza na Viongozi wa ngazi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.(Picha na Ikulu).

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wa ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Kusini Unguja, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Ikulu).