BANDA MEDIA BLOG

MHE. SANGU ATAKA WATUMISHI WALIPWE MISHAHARA KWA UFANISI WA KAZI


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu akiuliza jambo Viongozi wa Idara ya Mishahara, Motisha na Marupurupu wakati wa kikao cha kumpitisha katika majukumu ya Idara hiyo kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa Ofisi hiyo tarehe 13 Agosti, 2024.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu akizungumza na viongozi wa Idara ya Uendelezaji Rasimaliwatu wakati wa kikao cha kumpitisha katika majukumu ya Idara hiyo kilichofanyika katika ukumbi mdogo ulipo jengo la Utumishi Jijini Dodoma leo tarehe 13 Agosti, 2024.

  

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu akizungumza na viongozi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma wakati wa kikao cha kumpitisha katika majukumu ya Idara hiyo kilichofanyika katika ukumbi mdogo ulipo jengo la Utumishi Jijini Dodoma leo tarehe 13 Agosti, 2024.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu akizungumza na Viongozi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini wakati wa kikao cha kumpitisha katika majukumu ya Idara hiyo kilichofanyika katika ukumbi mdogo wa Ofisi hiyo tarehe 12 Agosti, 2024

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG