BANDA MEDIA BLOG

SEPESHA RUSHWA MARATHON ILIVYOFANA JIJINI DODOMA

Mmoja wa washiriki wa Sepesha Rushwa Marathon akipokelewa baada ya kumaliza Kilometa 21
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mayeka Saimon Mayeka alieyekuwa Mgeni Rasmi katika Mbio hizo za Sepesha Rushwa Marathon akizungumza na washiriki wa mbio hizo mara baada ya kuhitimishwa katika uwanja wa shule ya msingi Makole
Mratibu wa Sepesha Rushwa Marathon Eliasa Abdallah Hessein akiongea jambo wakati alipokuwa akittoa Taarifa ya Mbio hizo tangu zilipoanzishwa 2022 na mafanikio yake mpaka sasa kwenye jamii
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma George Katazi akiongea jambo wakati alipokuwa akitoa salama za jesh hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Jabiri Shekimweli akisisitza jamabo wakati wa picha za pamoja na washiriki wa Sepesha Rushwa katika viwanja vya shule ya msingi Makole


Balozi wa sepesha Rushwa Jenesnay Katara akitoa ushuhuda kwa viongozi na washiriki wa mbio hizo





(Picha zote na John Banda)


 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG