Kuna mpya Magorofan Ihumwa. Jamaa kajifanya Msichana na kupata Ajira ya House Girl nyumban kwa Askari. Ameshtukiwa Leo baada ya Kuishi ndan ya familia hiyo kwa Muda mrefu. Mashuhuda wanadai jamaa huyo alianza kazi hiyo akijifanya Mwanamke kwa Mzazi wa Askari huyo na baada ya Mzazi huyo kuona Kijana wake ameenda Kozi na mke wake ni Mjamzto akaamua kumpeleka House Girl huyo amsaidie kazi mkwewe bila kujua house girl huyo ni Kijana wa Kiume aliejiwela Mavazi ya Kike. Ishu hii imekuja shtukiwa na mke wa Askari huyo baada ya kuona ishara za mwili wa house girl huyo kupitia mikon siyo ya kike. Ndioo alipotoa taarifa na mhusika kugundulika kweli ni Mwanaume. Mtuhimiwa imasemekana amekabidhiwa Kituo Cha Polisi ihumwa. Tahadhari tunaoajiri wadada wa Kazi kupitia Mitandao hali ni mbaya.
KIJANA ALIYEJIFANYA BINTI NA KUOMBA KAZI YA UHOUSE GIRL ADAKWA NYUMBANI KWA ASIKARI
byJohn Banda
-
0



