BANDA MEDIA BLOG

MJUMBE WA BODI YA LIGI AJIUZURU BAADA DERBY KUAHIRISHWA

 

Mjumbe wa kamati ndugu Filimon Ntahilaja amejiuzuru na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi yaliyojaa Hila ya kamati unayodaiwa kujaa 
 wana simba kuamua kuahirisha mechi na kuvunja kanuni kwa makusudi.  

Amekataa udharimu na kuwa sehemu ya uhuni ufanywao na mamlaka za mpira nchini kupitia kamati hii dharimu na kuamua kuwajibika kwa kujiondoa katika nafasi zake za kiuongozi.

 Mzee huyu anapaswa kupongezwa na kitendo hiki ambacho cha kihuni kilichofanywa na wenye mamlaka hongera sana mzee wangu wewe ni shujaa wa mpira wa nchi hii.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG