BANDA MEDIA BLOG

WATU WAFURIKA SHEIKH AMRI ABEID,KUSHEREHEKEA MAFANIKIO YA WANAWAKE.

 


 

Picha za maandamano ya wanafunzi wakiingia uwanjani kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani inayofanyika katika uwanja wa Stadium mkoani Arusha 
Happy Lazaro,Arusha .
Viongozi wa serikali, sekta binafsi pamoja na wananchi wa Maeneo mbalimbali wakiwa kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kushuhudia maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo Kitaifa yanafanyika Mkoani hapa, mgeni rasmi akiwa ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Hata hivyo  Rais Samia tayari ameshawasili katika.viwanja vya stadium mkoani Arusha kwa ajili ya maadhimisho hiyo .

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG