BANDA MEDIA BLOG

MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA JIJINI DODOMA


 Mwenge wa Uhuru katika Wilaya ya Dodoma utatembelea, kukagua na kuweka jiwe la msingi miradi Saba ya maendeleo yenye gharama ya shilingi bilioni 9.8.

Mwenge wa Uhuru uliwasili katika uwanja wa Compassion Mtaa wa Vikonje B, Kata ya Mtumba leo tarehe 1 Juni, 2026 majira ya saa 1.04 asubuhi ukitokea Wilaya ya Mpwapwa.

Mwenge wa Uhuru ulipokelewa na mamia ya wananchi wakiwemo viongozi wa dini, siasa, Kamati ya Usalama Wilaya, Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, wakuu wa Divisheni na Vitengo, na vikundi mbalimbali vya burudani.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG