Dini wa kanisa Anglikana Jimbo la Tanzania Askofu Dkt. Dickson Chilongani amebainisha kuwa mara kadhaa amekuwa akiwafundisha Makasisi (Wachungaji) wa kanisa hilo kuhusu kupendana wao kwa wao.
Hata hivyo anasema anashangazwa kuona kuwa baadhi ya Makasisi Bado hawapendani, wanafitiniana na kuomeana wivu.
"Nimekuwa nikiwafundisha makasisi upendo wapendane wao kwa wao lakini nashangazwa kuna baadhi yao bado hawapendani, wanafitiniana na kuoneana wivu", amesama
Mhashamu Askofu Dkt Dickson Chilongani.
Utulivu wa Makasisi 2026 - Serengeti.
Tags
DINI NA MADHEHEBU
