BANDA MEDIA BLOG

ASKARI MAGEREZA ANASWA AKITAKA KUINGIZA GEREZANI MISOKOTO YA BANGI

Askari magereza muandamizi katika gereza la Naivasha GK nchini Kenya amekamatwa akijaribu kuingiza gerezani misokoto 1,800 na simu 18.

Afisa huyo mwenye cheo cha Inspekta Mkuu alinaswa akiwa ameficha misokoto ya bangi 1,772 kwenye matairi ili kuwapelekea wafungwa zaidi ya 3,000.

Kwa muibu wa chanzo cha habari mkuu wa gereza alifahamishwa juu ya biashara hiyo na ndipo alipoendesha operesheni hiyo iliyofanikisha kunasa misokoto hiyo na simu 18.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG