BANDA MEDIA BLOG

DIWANI MTEULE WA KATA YA BUIGIRI AKABIDHIWA CHETI CHA NAFASI HIYO ALIYOSHINDA KWENYE UCHAGUZI

Diwani mteule wa Kata ya Buigiri kupia chama cha Mapinduzi Kenneth Yindi (kulia)akipokea cheti cha ushindi, kwa  Afisa Mtendaji wa Kata ya hiyo, Festo Lesilwa jana kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi hiyo.
Diwani wa mteule wa Kata ya Buigiri kupitia CCM,Kenneth Yindi akionesha cheti cha ushindi wa udiwani wa kata hiyo jana katika ofisi za Afisa Mtendaji wa Kata ya Buigiri.

Baba mzazi wa diwani mteule wa Kata ya Buigiri Daudi Nyamanga(Mwenye shati jeupe) akitoa usia kwa mwanae Kenneth Yindi(wa kwanza kushoto) mara baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi katika ofisi za Afisa Mtendaji wa Kata ya Buigiri.
(Picha na Ramadhan Hassan)




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG