Na. Richard Bagolele- Chato
Baadhi ya wananchi wilayani Chato wameipongeza serikali kupitia mpango
wa TASAF Awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini. Wakiongea kwa nyakati
Tofauti wananchi hao kutoka kata ya Bwongera ambao ni wanufaika wa
Mpango huo wamesema Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ni mkombozi kwa
wananchi masikini na wameahidi kutumia pesa hizo kwa manufaa ya familia
na mahitaji muhimu ya huduma za afya na elimu kwa watoto wao.
“Tunaishukukuru serikali yetu kwa huu mpango mzuri ambao matunda yake
tunayaona hapa hapa, nimepokea hela mwezi uliopita nimenunua mbuzi
watatu, malipo ya awamu hii nitaboresha nyumba yangu” alisema Bibi Tabu
Paulo mkazi wa kijiji cha Mkolani kata ya Bwongera.
Kwa upande mwingine baadhi ya wanufaika wa mpango huo wamelaumu baadhi
ya akina baba ambao wamekuwa wakiwalazimisha wenzi wao kutokwenda
kuchukua fedha hizo na badala yake wakina baba ndiyo wamekuwa wakitaka
kukabidhiwa fedha hizo ambapo ni kinyume na mwongonzo wa mpango wa TASAF
awamu ya tatu ambao unawataka wakina mama kama wawakilishi wa kaya
wapokee fedha hizo kwa niaba ya familia.
Mratibu wa TASAF wilayani Chato Bw. Alex Manga’ra amesema tangu kuanza
kwa zoezi la ulipaji fedha kupitia mpango huo wamekutana na changamoto
hiyo ambapo amesema utaratibu wa nani anapaswa kupokea fedha hizo tayari
ulikwishaelezwa kwenye mikutano ya serikali za vijiji na mikutano mikuu
ya vijiji vyote vinavyonufaika na mpango huo lakini akina baba wamekuwa
wakitaka kulipwa wao badala ya akina mama. Hata hivyo Bw. Manga’ra
ameahidi kuendelea kutoa elimu kwa wanufaika wa mpango ili tatizo hilo
lisiendelee kujirudia.
Naye Msimamizi Mshauri wa Mpango kutoka TASAF Bw. Richard Komba
ameziomba kaya zinazonufaika na mpango kutokufumbia macho pindi waume
zao wanapowakataza kwenda kupokea fedha hizo na kuwataka wawasiliane na
wawakilishi wa serikali ya kijiji ambao wamo kwenye mpango ili hatua za
haraka ziweze kuchukuliwa.
Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ulizinduliwa mwezi January 2014 na
aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpongolo na mchakato wa
kubaini kaya masikini ulianza mapema mwaka huu ambapo kaya Zaidi ya 8000
kutoka vijiji 71 wilayani hapa ziliibuliwa na kuthibitishwa kupitia
mikutano mikuu ya vijiji na Hatimaye kukidhi vigezo vya kaya masikini.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Hon Christophe Bazivamo, mover of the Bill on Forestry Management and Protection Bill, 2015.Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
The Secretary General, Amb Richard Sezibera (left) and the Minister for EAC Affairs, Rwanda, Hon Valentine Rugwabiza in discussions at the Plenary sitting yesterday
The Bill whose mover is Hon Christophe Bazivamo sailed through at its 3rd Reading after the Committee stage scrutinized its various clauses, proposing amendments. The Report of the Agriculture, Tourism and Natural Resources was presented by Hon Judith Pareno on behalf of the Chair.
The EAC Forestry and Management Protection Bill, 2015 hopes, to promote the development, protection, conservation, sustainable management and use of the forests in the Community especially trans-boundary forests ecosystems, in the interest of present and future generations. It further wants to espouse the scientific, cultural and socio-economic values of forests and harmonise national forest laws.
Once amends are integrated, the Bill is expected to undergo assent by the Heads of State in line with Article 63 of the Treaty for the Establishment of EAC.The Bill seeks to operationalize Article 112 (1) d) of the Treaty for the Establishment of the EAC in which Partner States undertook to co-operate in the management of the environment and agreed to take necessary disaster preparedness, management, protection and mitigation measures especially for the control of natural and man-made disasters.
The Bill delineates the roles and responsibilities of Partner States and seeks to promote uniformity and integration in the area of Disaster Risk Reduction (DRR) and management.Finally, the Bill seeks to create a regional mechanism which would enable a timely intervention in disaster situations.
The Assembly had at its last sitting in Nairobi in October 2015, adjourned debate on the Bill. The adjournment at Committee stage followed the successful Motion for the same, tabled by the Chair of EAC Council of Ministers, Hon Dr Harrison Mwakyembe, seeking for more time to enable the United Republic of Tanzania to make input.
Hon Dr Mwakyembe then informed the House that the United Republic of Tanzania was expected to go to the polls in October and that it was necessary for the debate to be put on hold until such time that a new Government is in place to effectively enable the Partner State to make its input.
The Bill has five parts with the Preliminaries and objectives contained in Part 1. Part two covers general measures on forest management and protection while Governance and institutions of forest management and control are entailed in part 3 of the Bill. Part 4 amplifies trade in forest related products while section 5 envisages co-ordination matters under a Board known as the EAC Forests Board to be operationalized by the Council of Ministers.
Na. Richard Bagolele- Chato
Baadhi ya wananchi wilayani Chato wameipongeza serikali kupitia mpango
wa TASAF Awamu ya tatu wa kunusuru kaya masikini. Wakiongea kwa nyakati
Tofauti wananchi hao kutoka kata ya Bwongera ambao ni wanufaika wa
Mpango huo wamesema Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ni mkombozi kwa
wananchi masikini na wameahidi kutumia pesa hizo kwa manufaa ya familia
na mahitaji muhimu ya huduma za afya na elimu kwa watoto wao.
“Tunaishukukuru serikali yetu kwa huu mpango mzuri ambao matunda yake
tunayaona hapa hapa, nimepokea hela mwezi uliopita nimenunua mbuzi
watatu, malipo ya awamu hii nitaboresha nyumba yangu” alisema Bibi Tabu
Paulo mkazi wa kijiji cha Mkolani kata ya Bwongera.
Kwa upande mwingine baadhi ya wanufaika wa mpango huo wamelaumu baadhi
ya akina baba ambao wamekuwa wakiwalazimisha wenzi wao kutokwenda
kuchukua fedha hizo na badala yake wakina baba ndiyo wamekuwa wakitaka
kukabidhiwa fedha hizo ambapo ni kinyume na mwongonzo wa mpango wa TASAF
awamu ya tatu ambao unawataka wakina mama kama wawakilishi wa kaya
wapokee fedha hizo kwa niaba ya familia.
Mratibu wa TASAF wilayani Chato Bw. Alex Manga’ra amesema tangu kuanza
kwa zoezi la ulipaji fedha kupitia mpango huo wamekutana na changamoto
hiyo ambapo amesema utaratibu wa nani anapaswa kupokea fedha hizo tayari
ulikwishaelezwa kwenye mikutano ya serikali za vijiji na mikutano mikuu
ya vijiji vyote vinavyonufaika na mpango huo lakini akina baba wamekuwa
wakitaka kulipwa wao badala ya akina mama. Hata hivyo Bw. Manga’ra
ameahidi kuendelea kutoa elimu kwa wanufaika wa mpango ili tatizo hilo
lisiendelee kujirudia.
Naye Msimamizi Mshauri wa Mpango kutoka TASAF Bw. Richard Komba
ameziomba kaya zinazonufaika na mpango kutokufumbia macho pindi waume
zao wanapowakataza kwenda kupokea fedha hizo na kuwataka wawasiliane na
wawakilishi wa serikali ya kijiji ambao wamo kwenye mpango ili hatua za
haraka ziweze kuchukuliwa.
Mpango wa TASAF Awamu ya tatu ulizinduliwa mwezi January 2014 na
aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpongolo na mchakato wa
kubaini kaya masikini ulianza mapema mwaka huu ambapo kaya Zaidi ya 8000
kutoka vijiji 71 wilayani hapa ziliibuliwa na kuthibitishwa kupitia
mikutano mikuu ya vijiji na Hatimaye kukidhi vigezo vya kaya masikini.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Chato Waufurahia Mpango wa TASAF wa Kunusuru Kaya Masikini

Tags
KIMATAIFA