| Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam. (picha na Sixmund Begashe) |
| Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING akiwa kwenye ukumbi wa Historia wa Makumbusho na Nyumba ya Utamani Dar es Salaam. |
| Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING katikati akiwa kwenye ukumbi wa Sanaa wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam. |
| Mkurugenzi wa Makumbusho ya Taifa Prof Audax Mabula wakijadili jambo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING |
| Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es salaam Bw Achiles Bufure akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala cha Nchini China Mh ZHANG PING. |
Tags
HABARI KITAIFA