Mkurugenzi
wa benki ya Amana Dk Muhsin Masoud akimkabidhi zawadi mteja
Yasmin Ismail Mussa kwa utunzaji bora wa fedha katika tawi la Mwanza.
Mkurugenzi wa Amana Bank Dk Muhsin Masoud akimzawadia Bw Juma Kivuruga kwa kuwa mfanyakazi bora kwa tawi la Mwanza, Kivuruga alipigiwa kura na wafanyakazi wenziye wa tawi hilo.
Daud Lweno akizawadiwa na Mkurugenzi wa Amana Bank kama mteja mzuri kulipia miamala ya TRA katika tawi la Mwanza.
Mteja Yasmin Ismail akikata keki ya kuadhimisha miaka minne tangu kufunguliwa kwa benki hiyo, huku wafanyakazi wa benki hiyo wakiongozwa na Mkurugenzi wao wakifuatilia tukio hilo kwa umakini.
Bw Juma Msabaha meneja huduma kwa wateja wa Amana bank akijibu baadhi ya maswali kuhusu benki hiyo toka kwa waandishi wa habari.
Meneja wa tawi la Mwanza Saleh Awadh akiongea na mteja wa benki hiyo.
Hawa Maftah wa Amana Bank akimhudumia mteja mapema leo katika tawi.
Mkurugenzi Dk Muhsin Masoud akiongea na mmoja wa mamia ya wateja aliokutana nao leo katika tawi la jijini Mwanza ambako alikuja rasmi kwa shughuli ya ufungaji wa wiki ya huduma kwa wateja.
Picha ya pamoja wafanyakazi wa benki hiyo na mkurugenzi wao.
Zainab Barker ambaye ni meneja huduma kwa wateja wa tawi la Mwanza.<

Benki
ya Amana leo hii imehitimisha wiki ya huduma kwa wateja ambapo katika
tawi la Mwanza mkurugenzi wa benki hiyo <b>Dk Muhsin Masoud alitoa
zawadi mbali mbali kwa wateja wenye sifa tofauti tofauti kama
ioneshavyo pichani.
Mkurugenzi
huyo alikutana na wateja mbali mbali tawini hapo ili
kubadilishana nao mawazo na pia kupokea maoni toka kwao katika kuboresha
huduma kwa wateja wa benki hiyo pekee ya Ki Islamu nchini.
Kilele
hicho cha wiki ya huduma kwa wateja kimefanyika katika matawi yote ya
benki hiyo ambayo kwa Dar es Salaam ni Tandamti, Lumumba, Nyerere na
Main, vile vile Arusha na Mwanza.
Tags
BIASHARA