Mwanasheria
Mkuu wa Serikali George Masaju akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kuteuliwa
katika nafasi hiyo Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitia saini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh. Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw.
George Masaju
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu Othuman Chande,Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. (Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitia saini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu Othuman Chande,Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. (Picha na Hassan Silayo-MAELEZO
Tags
HABARI KITAIFA