Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Zanzibar Dkt Ali
Mohamed Shein, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu
mpya Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa mara baada ya kumuapisha mwishoni mwa
wiki katika Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini Dodoma. Wengine kutoka kushoto
ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zandibar Dkt
Abdulhamid Yahya Mzee, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano, Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande
Othman, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job
Ndugai, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho na Jaji Mkuu
wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Mkungu.
Rais Dkt.
John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu
Hassan na Waziri Mkuu mpya Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa mara baada ya
kumuapisha mwishoni mwa wiki katika Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini
Dodoma.
PICHA NA IKULU
Tags
HABARI KITAIFA

