Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu
wenye Ulemavu), Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb), akimsikiliza mkazi wa
Tegeta, Basihaya Jijini Dar es Salaam, Jumanne Malongo alipokuwa
akimueleza jinsi wembamba wa mtaro huo unavyosababisha maji kujaa katika
makazi yao, leo wakati alipofanya ziara kuangalia jinsi wilaya hiyo
ilivyojiandaa kukabili maafa ya Mvua zinazoendelea kunyesha jijini humo,
kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Manisipaa kinondoni, Ando Mwakunga akimueleza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb), uharibifu wa “kalvati” katika eneo la Boko, Ununio Jijini Dar es Salaam, leo wakati Waziri huyo alipofanya ziara kuangalia jinsi wilaya hiyo ilivyojiandaa kukabili maafa ya Mvua zinazoendelea kunyesha jijini humo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb), akiteta na Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen, Mbazi Msuya juu ya ujenzi wa mtaro wa maji katika eneo la Mnyamani, Buguruni wilayani Ilala, Jijini Dar es Salaam leo wakati alipofanya ziara kuangalia jinsi wilaya hiyo ilivyojiandaa kukabili maafa ya Mvua zinazoendelea kunyesha jijini humo.

wenye Ulemavu), Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb), akitoa maelekezo baada
ya kutoridhishwa na ujenzi wa mtaro wa maji katika eneo la Mnyamani,
Buguruni Ilala Jijini Dar es Salaam, kwa Uongozi wa Halmashauri ya
Manispaa hiyo kumpatia taarifa ndani ya siku tano inayoeleza ni jinsi
gani watakavyokamilisha ujenzi huo, leo wakati alipofanya ziara
kuangalia jinsi wilaya hiyo ilivyojiandaa kukabili maafa ya Mvua
zinazoendelea kunyesha jijini humo.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Tags
HABARI KITAIFA