BANDA MEDIA BLOG

MKUU WA MKOA WA DODOMA AZINDUA BARAZA JIPYA LA MADIWANI WA MANISPAA HIYO NA KUWAAGIZA KUCHAPA KAZI KWA NGUVU KUIOKOA HALMASHAURI HIYO ILIYO KATIKA HALI MBAYA KIMAPATO NA KIMAENDELEO

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Gallawa akizindua Baraza jipya la Madiwani wa manispaa ya Dodoma, na kuwataka kuchapa kazi

Baadhi ya Madiwani hao wakiapa kabla ya Baraza hilo kuzinduliwa na mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gllawa



Katibu wa Baraza hilo, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Clemens Mkusa akizungumza jambo katika baraza hilo la kwanza la madiwani
Msitahiki Meya wa Manispaa ya Dodoma Jaffari Mwanyemba akizungumza kwenye Baraza hilo, Kulia ni Naibu wake Jumanne Ngede na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Clemens Mkusa
Madiwani hao wakiwa ndani ya ukumbi wa Manispaa katika Baraza la kwanza tangu kuchaguliwa kwao
 
Diwani wa Kata ya Kizota Jamal Ngalya Chadema akiwatuliza wafuasi wa Chama chake kutokana na kuzidisha kushangilia kwa sauti ya juu  nje ya ukumbi huo wakati zoezi la kuapishwa likiendelea

Waandishi wa habari wakisubiri matukio nje ya ukumbi huo





Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG