BANDA MEDIA BLOG

CDA YABOMOA NYUMBA NA MAPAGALE 175 MBWANGA HUKU IKIAHIDI KUENDELEZA UBOMOAJI HUO KWA WATE WALIOJENGA HOLELA NDANI YA MANISPAA YA DODOMA

Tingatinga la CDA moja ya nyumba katika eneo la Mbwanga Manispaa ya Dodoma

Wakazi wa Mbwanga manispaa ya Dodoma wakilinda vyombo vyao Baada ya nyumba zao kubomolewa na tingainga la mamlaka ya ustawishaji makao makuu CDA
Wafanyakazi wa CDA wakisimamia uvunjaji wa nyumba  katika Mtaa wa Ndachi B [Mbwanga] Manipaa ya Dodoma wakifurahia jambo wakati zoezi la Bomoabomoa Likiendelea

Mkazi wa Mbwanga akiwa mbele ya Nyumba yake kabla nyumba hiyo kubomolewa na Tingatinga la CDA


Mkazi huyo akiwana baadhi ya thaman zake za ndani baada ya nyumba yake kuvunjwa

Bomoabomoa ikiendelea
Askari polisi akilinda usalama

FFU wakizuia wakazi wa eneo hilo ili wasisogelee wavunjaji katika eneo hilo la Mbwanga


Wakazi wa Mbwanga wakiangalia ubomoaji wa nyumba zao zilizobomolewa  na mamlaka ya ustawishaji makao makuu CDA huku wakilalamikia kutopewa taarifa ya uvunja huo


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG