Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la
Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 17, 2015. Kulia
kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza
kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya
Awamu ya Tano wiki iliyopita.
PICHA NA IKULU
Tags
HABARI KITAIFA
