Idadi watu wapatao 100 wanahofiwa
kufa katika tukio la mlipuko uliotokea kwenye mtambo wa gasi kwenye
kiwanda kusini-mashariki mwa Nigeria.
Imeelezwa kuwa Lori moja lililipuka
wakati likishusha gesi ya kupikia majumbani aina ya butane katika mji
wa Nnewi kwenye jimbo la Anambra.
Tags
KIMATAIFA
