![]() |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ndani ya basi la Mradi wa Mabasi yaendayo haraka UDART kwenye kituo cha Feri jijini Dar es salaam wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015. |
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua kituo cha mabasi yaendayo haraka UDART cha Kimara jijini Dar es
salaam wakati alipofanya ziara ya kukagua mradi huo Desemba 19, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
HABARI KITAIFA






