BANDA MEDIA BLOG

WWF YAIJENGEA UWEZO HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

 Mganga Mkuu wa Jiji la Arusha,Dk Bakari Salum akifungua mkutano wa Wasaa wa Mazingira(Earth Hour City Challenges)kwa watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha  unaowajengea uwezo kuweka mipango inayoendana na mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika kwenye hotel ya Palace jijni Arusha kushoto ni  Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako

 Mratibu wa mradi wa nishati wa shirika la Utunzaji wa mazingira duniani(WWF- Tanzania)Dk Teresia Olemako akizungumza kwenye mkutano wa Wasaa wa Mazingira(Earth Hour City Challenges)
 Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Jiji la Arusha,Nteghenjwa Hoseah akiwasilisha mada ya namna Jiji hilo lilijipanga kuhakikisha linakua safi kwa kushirikiana na wadau na kulifanya kuwa kivutio cha watalii na wegeni wengine.
 Watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa zenye lengo la kulifanya Jiji kuwa la mfano barani Afrika

 Watumishi wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakifatilia kwa makini mada .

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG