Mwanamitido
wa Kimataifa, Flaviana Matata akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni
ya ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora yenye lengo la kufanikisha
maendeleo ya elimu katika Jimbo la Segerea kwa kusaidia kununua
madawati, kuchimba matundu ya vyoo, kuchimba visima vya maji na kujenga
vyumba maalum vya watoto wa kike, chini ya uratibu wa Mfuko wa Udhamini
wa Elimu wa Bonnah (BETF), jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni
mwandaaji wa kampeni hiyo ambaye ni Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa na
Mratibu wa Elimu Josephat Peter.

Mbunge Bonnah Kaluwa na wenzake wakifurahia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Wadau wa habari wakichukua matukio wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora.
Wageni waalikwa kutoka Jimbo la Segerea wakiwepo wananchi wa kawaida wakifuatilia tukio la uzinduzi wa kampeni hiyo.
Ofisa wa BETF Shamsudin Ahmed akifafanua jambo kuhusu kampeni hiyo ya elimu