Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa Ushauri kwa Uongozi wa Hospitali wa Wizara ya Afya wakati
alipokuwa akitembelea hatua ya ujenziWodi ya Watoto na upanuzi wa
Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kuweka jiwe la msingi miradi hiyo
miwili leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) ni Mkandarasi wa ujenzi kampuni ya Rans
Ali Nassor Salim.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Wizara ya Afya
Mathna Kassim Marine (kushoto) baada ya kuweka jiwe la msingi Upanuzi
wa Hospitali ya Mnazi Mmoja (ORIO) leo ikiwa ni katika shamra shamra
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mkandarasi wa
ujenzi kampuni ya Rans Ali Nassor Salim.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazoakama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto
katika Hospitali ya Mnazi Mmojaleo ikiwa ni katika shamra shamra
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya
wanafunzi wa Vyuo mbali mbali vya Afya wakiwa katika sherehe za uwekaji
wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja
leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa nasaha zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya
mnazi mmoja katika sherehe zauwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na
upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Naibu Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap
Frederiks.
Naibu
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kutoa nasaha
zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya mnazi mmoja
katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa
Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Balozi wa
Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks alipokuwa akitoa salamu zake
mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya
Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika
shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Viongozi
na wageni mbali mbali walioalikwa katika sherehe za uwekaji wa jiwe la
msingiWodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa
ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoahutuba yake ya uwekaji wa jiwela
msingi mradi huo
Baadhi ya
madaktari na Maafisa wa Hospitaliya mnazi mmoja wakiwa katika sherehe
za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya
Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar, Picha na Ikulu.