HomeKIMATAIFA Je, huu ndiyo mwisho wa Umoja wa Ulaya? byJohn Banda -Wednesday, January 20, 2016 0 Shinikizo linaloongezeka dhidi ya Kansela Angela Merkel, kumtaka adhibiti mipaka ya Ujerumani, limezua hofu miongoni mwa wadadisi wa mambo, ambao wanahoji iwapo huu ndiyo mwanzo wa kusambaratika kwa Umoja wa Ulaya. Tags KIMATAIFA Facebook Twitter