Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungungua tawi la Benki ya Posta la Songea akiwa katika ziara ya mkoa
wa Ruvuma Januari 4, 2016. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Bunge, Sera, Uratibu, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama . (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akitazama kadi ya akaunti yake ya Benki ya Posta Tanzania
aliyokabidhiwa baada ya kuifungua alipokuwa akifungua tawi la Benki
hiyo la Songea Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassi Majaliwa
akiagana na watuishi wa Benki ya Posta, Tawi la Songea baada ya kufungua
tawi lao Januari 4, 2016. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Rukwa. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya Wakala wa
Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya
siku tatu mkoani Ruvuma Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikabidhiwa silaha za jadi na mzee Daniel Gama baada ya kuwasili
kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa
Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama ngoma ya mila ya kabila la Wangoni wakati alipowasili
kwenye kijiji cha Maposele na kukagua ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa
Halmashauri ya wilaya ya Peramiho Januari 4, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akikagua ujenzi wa Jego la Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho akiwa
katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Maposele wilayani Peramiho baada
ya kukagua ujenzi wa jingo la Ofisi ya Mkurugenzi wa wilaya hiyo akiwa
katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Januari 4, 2016. (PIcha na Ofisi a
Waziri Mkuu
Tags
HABARI KITAIFA