Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura (kulia) akiongea na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Said Meck Sadiki wakati wa ziara ya Mh.
Naibu Waziri aliyoifanya katika Wilaya ya Temeke kukagua viwanja vya
wazi vilivyokusudiwa kwa ajili ya michezo ambavyo vimemiwa na baadhi ya
wananchi.(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura (kulia) akiongea na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Said Meck Sadiki wakati wa ziara ya Mh.
Naibu Waziri aliyoifanya katika Wilaya ya Temeke kukagua viwanja vya
wazi vilivyokusudiwa kwa ajili ya michezo ambavyo vimevamiwa na baadhi
ya wananchi.(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura (kulia) akiagana na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Said Meck Sadiki tayari kuanza ziara
ya kukagua viwanja vya wazi vilivyokusudiwa kwa ajili ya michezo
vilivyovamiwa na baadhi ya wananchi.(Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya
Mainispaa ya Temeke Bw.Waziri Kombo akimkabidhi Naibu Waziri Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura taarifa ya
utekelezaji kuhusiana na shughuli za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
za Halmashauri hiyo, kulia ni Mbunge wa jimbo la Temeke Mh.Abdalah
Mtolea na kushoto ni Naibu Meya wa Manispaa hiyo Mh.Salum Fesal. (Picha
na Benjamin Sawe-WHUSM).
Naibu Waziri Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura wa pili kutoka kulia
akikagua Uwanja wa Tandika ambao una mgogoro na wapangaji wa maduka
ambapo aliagiza siku saba kwa wavamizi wote nchini kutoka kwenye viwanja
hivyo kwa ajili ya kupisha shughuli za michezo, wa pili kutoka kushoto
ni Naibu Meya wa Manispaa hiyo Mh.Salum Fesal. (Picha na Benjamin
Sawe-WHUSM).
Mwenyekiti wa Bodi ya Mikono Arts
aliyesimama Bw.Henry Clemensi akiongea na Naibu Waziri Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kuhusu
shughuli wanazofanya ili kuwasaidia wasanii wa sanaa za uchongaji ikiwa
ni pamoja na kuwatafutia soko nje ya nchi, wa kwanza kulia waliokaa ni
Mbunge wa jimbo la Temeke Mh.Abdalah Mtolea na wa kwanza kushoto ni
Naibu Meya wa Manispaa hiyo Mh.Salum Fesal. (Picha na Benjamin
Sawe-WHUSM).
Tags
HABARI KITAIFA