BANDA MEDIA BLOG

RAIS OBAMA AHUTUBIA KWA HISIA KALI MIKAKATI YA KUDHIBITI SILAHA

Rais Barack Obama aliyejawa na hisia amebainisha mikakati yake ya kudhibiti ununuzi wa silaha katika hotuba yake Ikulu ya Marekani huku akisema sababu zisizoisha za kutochukua hatua zinapaswa kusitishwa.

Ikulu ya Marekani imebainisha mipango yake ya utekelezaji, ambayo imejikita katika kuangalia historia ya mnunuzi wa silaha.

Nyingi za hatua hizo zinaweza kuanza kutumiwa bila hata ya kuomba ridhaa ya baraza la Congress.

Rais Obama amesema watetezi wa umiliki silaha huenda wakaishinikiza Congress kwa sasa lakini hawawezi kuishikilia Marekani.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG