Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (kushoto) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha wakati alipowasili Makao
Makuu ya Jeshi hilo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo kwa ajili
ya ziara ya kikazi. Katika ziara hiyo, Waziri Kitwanga aliliagiza Jeshi
hilo kumchukulia hatua kali za kisheria kwa yeyote atakaye kiuka
kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji wakati linaenda katika tukio
lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto. Pia aliitaka Jeshi hilo
kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo vyake mbalimbali.
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (kushoto) akitoa taarifa ya
utendaji wa Jeshi lake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles
Kitwanga wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya
Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Waziri Kitwanga
aliliagiza Jeshi hilo kumchukulia hatua kali za kisheria kwa yeyote
atakaye kiuka kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji wakati linaenda
katika tukio lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto. Pia aliitaka Jeshi
hilo kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo vyake mbalimbali.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji wakiongozwa na Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (kulia kwa
Waziri) wakati Waziri huyo alipofanya ziara Makao Makuu ya Jeshi hilo,
Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo. Katika ziara hiyo, Waziri
Kitwanga aliliagiza Jeshi hilo kumchukulia hatua kali za kisheria kwa
yeyote atakaye kiuka kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji wakati
linaenda katika tukio lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto. Pia
aliitaka Jeshi hilo kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo
vyake mbalimbali.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (katikati) akiondoka Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji mara baada ya kuzungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji wakiongozwa na Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha (kulia).
Katika hotuba yake kwa viongozi hao wa jeshi, Waziri Kitwanga aliliagiza
Jeshi hilo kumchukulia hatua kali za kisheria kwa yeyote atakaye kiuka
kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji wakati linaenda katika tukio
lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto. Pia aliitaka Jeshi hilo
kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo vyake mbalimbali.
Mkufunzi wa Masuala ya Majanga
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Christopher Marwa (kulia) akimuonyesha
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (aliyevaa tai), gari
la Uokozi ambalo lina vifaa mbalimbali vya uokozi. Waziri Kitwanga
alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo, na baadaye
kujifunza kazi mbalimbali za jeshi hilo katika Kituo cha Zimamoto Kanda
ya Ilala, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Waziri Kitwanga
aliliagiza Jeshi hilo kumchukulia hatua kali za kisheria kwa yeyote
atakaye kiuka kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji wakati linaenda
katika tukio lolote la uokoaji pamoja na kuzima moto. Pia aliitaka Jeshi
hilo kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika vyanzo vyake mbalimbali.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga akizungumza waandishi wa habari mara baada ya kumaliza
ziara yake katika Kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kanda ya
Ilala, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake kwa waandishi hao wa
habari, Waziri Kitwanga aliliagiza Jeshi hilo kumchukulia hatua kali za
kisheria kwa mtu yeyote atakaye kiuka kulipisha gari la Zimamoto na
Uokoaji wakati linaenda katika tukio lolote la uokoaji pamoja na kuzima
moto. Pia aliitaka Jeshi hilo kuongeza kasi ya kukusanya mapato katika
vyanzo vyake mbalimbali.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Tags
HABARI KITAIFA