Balozi
wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt akisaini kitabu cha Wageni
alipomtembelea leo ofisini kwake tarehe 01 Febuari, 2016 Mjini Dodoma.
Kulia kwake ni Afisa wa Ubalozi wa Sweden Bw. Ludvig Bontell.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Bi.
Katarina Rangnittaliyemtembelea leo Ofisni kwake Mjini Dodoma
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifanunua jambo wakati akizungumza na Balozi
wa Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt. Wengine katika picha ni maafisa
wa Ubalozi wa Sweden na Wabunge.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pmoja na Balozi wa
Sweden Nchini Bi. Katarina Rangnitt na Maafisa wengine wa Ubalozi wa
Sweden na wa Bunge
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiaagana na Balozi wa Sweden Nchini Bi.
Katarina Rangnitt mara baada ya kuzungumza anye ofisini kwake. Kulia ni
Afisa wa Ubalozi wa Sweden Bw. Ludvig Bontell. (Picha na Ofisi ya Bunge)