BANDA MEDIA BLOG

KUNDI LA WAHAMIAJI LAVUNJA UZIO MPAKANI MWA MACEDONIA NA UGIRIKI

Kundi la wahamiaji limevunja kizuizi cha fensi ya waya zenye kuchoma kwenye mpaka wa Macedonia na Ugiriki wakitumia vyuma kuvunja uzio huo.

Picha za TV zimeonyesha wahamiaji wakisukuma uzio huo huko Idomen, na kuzikata nywaya za kuchoma huku polisi wa Macedonia wakitumia mabomu ya machozi kuwatimua.

Haijafahamika mara moja wahamiaji wangapi wameweza kuvuka, ambapo wengi wao wanataka kufika nchi za Ulaya wakitokea Syria na Irak.
    Wahamiaji wakisukumana na polisi wenye ngao za kioo baada ya kuvunja uzio huo
    Mtoto akiangua kilio wakati wa ghasia hizo zilizoambatana na mabomu ya machozi

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG