Washiriki
wa Mbio za Kilometa 42 katika mashindano ya kimataifa ya Kilimanjaro
Marathoni 2016 wakianza mbio zao katika uwanja wa Chuo kikuu cha
Ushirika Moshi (MOCU) .
Mshindi
wa kwanza katika Mbio za Kilimanjaro Marathoni Km 42 upande wa wanaume
,Kiprotich Kirui raia wa Kenya akihitimisha mbio katika uwanja wa Chuo
kikuu cha Ushirika baada ya kutumia muda wa saa 2:16:43.
Mshiriki
wa pili katika Mbio za Kilimanjaro Marathoni Km 42 upande wa wanaume
,Kenneth Ronoh raia wa Kenya akihitimisha mbio katika uwanja wa Chuo
kikuu Cha Ushirika Moshi baada ya kutumia muda wa saa 2:16:48.
Mshindi
wa kwanza katika Mbio za Kilimanjaro Marathoni Km 42 upande wa
wanawake Alice Kibor raia wa Kenya akihitimisha mbio huku akipiga ishara
ya msalaba katika uwanja wa Chuo kikuu cha Ushirika baada ya kutumia
muda wa saa 2:38:03.
Mkurugenzi
wa Masoko wa TBL Group Kushila Thomas akikabidhi bahasha ya zawadi kwa
washindi wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2016 upande wa wanawake.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauye akisalimiana
na mshindi wa pili katika mbio za Km 42 E,Chemweno kabla ya kumviha
medali.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauyeakikabidhi
mfano wa hundi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kwa wanawake katika
mbio za Km 42.
Washindi wa kwanza hadi wa 10 wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauye.
Mkurugenzi
wa Masoko wa TBL Group Kushila Thomas akikabidhi bahasha ya zawadi kwa
washindi wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2016 km 42 upande wa wanaume.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauyeakikabidhi
mfano wa hundi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kwa wanawake katika
mbio za Km 42.
Washindi wa kwanza hadi wa 10 wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Nape Nnauye.
Mkurugenzi
wa Masoko wa TBL Group Kushila Thomas akitoa hotuba yake wakiwa ndio
wadhamini wakuu wa Mbio za Kilimanjaro Marathoni 2016
Rais
wa Shirikisho la Riadha Tanzania ,Anthony Mtaka akizungumza katika
hitimisho la mashindano ya kimataifa ya mbio za Kilimanjaro Marathoni
2016.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Tags
MICHEZO KITAIFA