| Wananchi wa
mitaa mbalimbali ya Mkoa wa Dodoma wakiwa wamejipanga kwenye mistari ya
kusubiria kugawiwa vyandarua vya bila malipo
|
| Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni mstaafu Chiku Gallawa akigawa vyandarua vya bure kwa wakazi wa wilaya ya Chamino IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
Kikundi cha
ngoma za asili ya kigogo cha Chamwino Ikulu Dodoma kikitumbuiza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Mkoa
wa Dodoma ya kugawa vyandarua vya bila malipo kwa kaya
|
Tags
AFYA