BANDA MEDIA BLOG

COSATO CHUMI APONGEZWA NA WANANCHI WA JIMBO LA MAFINGA MJINI

mbunge wa jimbo la Mafinga
mjini mkoani Iringa  Cosato Chumi akiwa na
balozi wa
korea  mh Geum-young song wakipata picha ya pamoja baada ya maongezi ya muda mrefu.
………………………………………….
 
 Na fredy mgunda,iringa
 
Wananachi wa maeneo mbalimbali ya jimbo la mafinga mjini wamesema utaratibu wa mbunge wao Cosato
Chumi kwa kwenda kutembelea maeneo yenye kero ni dalili njema zinazoonyesha
kuwa hawakufanya makosa kumchagua kuwa mbunge wao na kuongeza hatadanganywa na
watendaji walioko chini yake tatizo linalosababisha viongozi wengi kutoa
maamuzi yasiyo sahihi na yanayoendelea kuiathiri jamii.
Aidha wananchi hao wamempongeza mbunge wao kwa juhudi anazo zifanya za kukutana na watadau
mbalimbali kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake.
Continue reading →

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG